USIKOSE KUSHIRIKI MAFUNZO YA KI-UJASIRI-A-MALI NA KUBORESHA BIASHARA YA
WEZESHA MTANZANIA 2022 | MSIMU WA 3
“HATUA KWA HATUA KUELEKEA UHURU WAKO WA KIFEDHA”
RATIBA YA WEZESHA MJASIRIAMALI EXTRA “3” PLUS
SEHEMU: DAR ES SALAAM
KUNDI NAMBA 1: **** SEPTEMBA 6-8, 2022 ****
KUNDI NAMBA 2: **** OKTOBA 26-28, 2022 ****
KUNDI NAMBA 3: **** NOVEMBA 26-28, 2022 ****
KUNDI NAMBA 4: **** DESEMBA 20-22, 2022 ****
Mwalimu Kiongozi: Bw. Peter John (PBD T) na Wengine Kutoka Kwa kampuni za Wadau (W.E.M.T.A)
SIKU YA KWANZA | UJASIRIAMALI NA UJUZI WA KUTENGENEZA BIDHAA
ZA SHANGA (Beads) NA VIUNGO VYA CHAKULA KWA VITENDO;
Utafundishwa na kupewa
maelekezo kamili kuhusu;
- Utengenezaji wa Bracelets tofauti kutumia shanga (beads)
- Utengengezaji wa Urembo na bidhaa za shanga
- Utengenezaji wa viungo vya kuweka ladha katika chakula
SIKU YA PILI | UJASIRIAMALI NA UJUZI KWA VITENDO WA HUDUMA
YA MAPAMBO, MAALUMU KWA SHEREHE MBALI MBALI
- Kutengeneza mapambo ya mezani (Table setup)
- Kutengeneza mapambo ya stage (Stage Décor)
- Kutengeneza mapambo ya Maputo na maua (Balloons and flower decorations)
SIKU YA TATU | ELIMU, MAARIFA NA UJUZI WA KUJIJENGA
KIJASARIAMALI NA KUKUZA MAUZO YA
BIASHARA YAKO
Ivyo basi utajifunza;
- Mbinu za kutumia mitandao ya kijamii kukuza brand, wateja na mauzo ya biashara yako.
- Ujuzi wa kufanya matangazo ya kulipia (Ads) kwa kuzingatia aina ya biashara.
- Jinsi ya kutengeneza mpango wa biashara (Business plan) kwa dhumuni la kuombea mkopo taasisi za kifedha.
- Njia za kuwa kuongozi bora (meneja mkuu/mkurugenzi/CEO) kwenye biashara yako.
Gharama/ADA: Tshs
15,000/= (siku moja) | Tshs 40,000 (siku zote tatu)
VINYWAJI, VITAFUNWA NA CHETI CHA USHIRIKI vitatolewa bure!
KWA MAWASILIANO PIGA SIMU AU TUMA UJUMBE “WEZESHA” KWENDA NAMBA; +255
716 477 782
BARUA PEPE: wezeshamtanzania@gmail.com
WASHIRIKA NA WADAU: BCC, WEMTA, DAT & SKYFALL DECORS, LEUPHANA
UNIVERSITY OF LUNEBURG NA WENGINE MNAKARIBISHWA!!!

Comments
Post a Comment